Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe amemteua rais wa zamani wa TFF Leodger Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
ADVERTISE HERE