Kesho Simba itashuka dimba la Uhuru kumenyana na Kagera Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Viingilio vya mchezo huo vimewekwa hadharani ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Tiketi zinapatikana Msimbazi, TFF, Buguruni Sheli, Dar Live na Fussion Sports Wear
ADVERTISE HERE