Mchezo wa kwanza wa watani wa jadi msimu huu utapigwa Jumamosi, Novemba 07 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa
Aidha TFF imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 11 jioni
VIP A ni tsh 30,000/- VIP B ni Tsh 10,000/- wakati VIP C ni Tsh 15,000/-
Machungwa ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 7,000/-

ADVERTISE HERE