Mshambuliaji wa Simba Chris Mugalu amerejea kikosini akianza na program maalum ya mazoezi mepesi
Mugalu amerejea wakati mwafaka kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi, Novemba 07 2020
Nyota huyo aliyefunga angalau bao moja katika kila mchezo aliocheza, ana nafasi kubwa ya kujumuishwa katika mchezo huo wa Jumamosi
Hata hivyo, ni wazi hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Kagera Sugar keshokutwa Jumatano, mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE