Hesabu za Sven ni kurudi kileleni VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2020
Hesabu za Sven ni kurudi kileleni VPL

Kocha wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema anaamini kikosi chake kitaendelea kufanya vyema Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) na kukaa kileleni

Simba ilifanikiwa kupata ushindi wa tano, baada ya kuifunga mabao 5-0 Mwadui katika mchezo wa ligi hiyo uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam

Kabla ya ushindi huo, Simba ilipoteza michezo miwili mfululizo ikifungwa bao 1-0 na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga, kisha kupata kichapo kama hicho kutoka kwa Ruvu Shooting katika dimba la Uhuru.

Akizungumza baada ya mchezo wa juzi dhidi ya Mwadui, Vandenbroeck alisema amefurahi kupata ushindi huo, baada ya kuwa katika wakati mgumu wa kupoteza pointi sita ugenini na nyumbani.

Sven alisema baada ya ushindi huo, ataendelea kuboresha kikosi chake kutokana na kasoro zilijitokeza ili kuhakikisha wanapata ushindi katika michezo itakayofuata.

Malengo yaliyowekwa ni kuongoza katika msimamo wa ligi hiyo na baadaye waweze kutetea ubingwa wao kwa mara ya nne mfululizo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’