Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa nahodha msaidizi wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr'
Zimbwe Jr amejijengea heshima kubwa ndani ya kikosi cha Simba akihusika na mafanikio ya machampioni hao katika misimu minne iliyopita
Tunamtakia siku nzuri ya kumbukizi ya kuzaliwa
Happy Birthday Zimbwe Jr
ADVERTISE HERE