Simba yasaka mbadala wa Muharami

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Oct 2020
Simba yasaka mbadala wa Muharami

Baada ya kumfuta kazi kocha wa makipa Muharami Mohammed, klabu ya Simba tayari imeanza mchakato wa kumpata mrithi wake

Kocha Abdul Idd Salim raia wa Kenya ndiye anayetajwa kuwa katika rada za mabingwa hao wa Tanzania Bara kwa misimu mitatu mfululizo

Salim yuko klabu ya Sheikh Russel inayoshiriki Ligi Kuu ya Bangladesh. Kocha huyo aliwahi kuwanoa makipa wa Simba katika vipindi viwili tofauti ambapo mara ya kwanza alitua Juni 2015 wakati Kocha Mkuu wa Simba akiwa, Dylan Kerr raia wa England, kisha akaondolewa na kurudi tena Desemba 2016, kipindi Simba ikinolewa na Mcameroon, Joseph Omog

Taarifa kutoka ndani ya Simba zinasema kuwa, uamuzi wa kumrudisha kocha huyo ni baada ya kuona ndiye kocha atakayewafaa kwa wakati huu ili kurudisha viwango vya makipa wao lakini anaweza kuwasaidia sana kwenye michuano ya kimataifa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’