Simba yasaka alama tatu muhimu dhidi ya Mwadui Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Oct 2020
Simba yasaka alama tatu muhimu dhidi ya Mwadui Fc

Mabingwa wa nchi Simba jioni ya leo watashuka uwanja wa Uhuru kumenyana na Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Baada ya kupoteza michezo miwili mfululizo, huu ni mchezo ambao mashabiki hawatakubaliana na matokeo yoyote tofauti na ushindi

Wachezaji pamoja na benchi la ufundi wanafahamu umuhimu wa mchezo huu

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao na kuwa wachezaji wameahidi kupambana kuwapa furaha

Leo mashabiki huenda wakawashuhudia kikosini Mzambia Clatous Chama na mshambuliaji aliyekuwa majeruhi, Chris Mugalu pamoja na nahodha John Bocco aliyerejea aliyerejea kikosini katika mchezo uliopita

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’