Mwamba wa Lusaka yuko tayari kuwakabili Mwadui Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Oct 2020
Mwamba wa Lusaka yuko tayari kuwakabili Mwadui Fc

Kiungo Clatous Chama raia wa Zambia amerejea na kujifua na kikosi cha Simba ambacho leo kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc

Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Uhuru

Chama alikosa michezo miwili iliyopita ambayo yote Simba ilipoteza, akirejea kwao Zambia kushughulikia hati yake ya kusafiria iliyokuwa imemaliza muda wame

Chama ndiye injini ya klabu ya Simba kwa sasa, hakuna shaka mchango wake utaonekana kesho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
47m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’