Kesho Jumamosi Simba itashuka uwanja wa Uhuru kumenyana na Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom
Viingilio vya mchezo huo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kupitia vituo maalum vilivyoainishwa na klabu ya Simba
ADVERTISE HERE