Lawi awe fundisho kwa Waamuzi wengine

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Oct 2020
Lawi awe fundisho kwa Waamuzi wengine

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi jana ilitoa adhabu mbalimbali kwa wachezaji na waamuzi kutokana na matukio yaliyotokea katika mechi zilizopita

Mwamuzi Shomari Lawi yeye alikumbana na adhabu ya kufungiwa mwaka mmoja kwa kushindwa kumudu mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba ambao ulipigwa Sumbawanga wiki iliyopita

Ni moja ya michezo iliyokuwa na matukio mengi ya ajabu ajabu ambayo Lawi hakuyachukulia hatua tena mengine yakiwa dhahiri kabisa

Adhabu hii iwaamshe waamuzi wengine, wafahamu kuwa wanapaswa kuchezesha kwa kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu

Maamuzi yasiyofuata kanuni yanaziumiza timu kwani uwekezaji mkubwa unafanyika kuhakikisha timu zinafanya vizuri

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’