Sven anaamini ni 'upepo mbaya' tu umepita Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Oct 2020
Sven anaamini ni 'upepo mbaya' tu umepita Simba

Kocha Mkuu wa mabingwa watetezi ligi kuu ya Vodacom, Simba, Sven Vandenbroeck amesema watafanyia kazi changamoto zilizojitokeza katika mechi zilizopita  ili kuweza kupata matokeo chanya mechi zinazofuata.

Mbelgiji huyo Jumamosi atakiongoza kikosi chake mchezo dhidi ya Mwadui FC , mchezo ambao unaweza kumuweka matatani kama atakosa ushindi

Kikosi cha Sven kimepoteza alama sita mfululizo kwa kufungwa na Tanzania Prisons na Ruvu Shooting.

Sven amesema hajui sababu kwa nini timu yake ilipoteza mechi hizo lakini anaamini ni nyakati tu zinazopita anaamini kwamba watafanya vizuri mechi zijazo.

"Sikumbuki mara ya mwisho kupoteza mechi mbili nikiwa Kocha Mkuu ilikuwa lini ila mpaka sasa ninaona kwamba haya kwangu ni maajabu kutokea.

"Kwa kuwa mchezo wa mpira ni makosa, basi kwa yaliyotokea tunayafanyia kazi na kuona kwamba tutarekebisha kwenye mechi zetu zijazo," alisema Sven

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’