Klabu ya Simba imewafuta kazi kocha wa makipa Mwarami Mohamed na Meneja wa timu Patrick Rweyemamu kutokana na matokeo mabaya katika mechi mbili zilizopita.
Simba pia imewaondoa kwenye kitengo cha habari Ally Shatry ‘Bab Chico’ na Jacob
Wawili hao wanatuhumiwa kuvujisha mambo ya klabu ya Simba kwa Senzo Mazingiza.
ADVERTISE HERE