Mchezo unaofuata ni dhidi ya Mwadui Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Oct 2020
Mchezo unaofuata ni dhidi ya Mwadui Fc

Jumamosi Simba itakuwa na nafasi ya kuwatuliza mashabiki wake watakapoikaribisha Mwadui Fc katika mchezo wa raundi ya nane ligi kuu ya Vodacom

Huu ni mchezo muhimu sana kwa mabingwa watetezi, matokeo tofauti na ushindi yanaweza kuongeza presha kwa kikosi cha kocha Sven Vandenbrieck

Aidha inaelezwa Bodi ya Wakurugenzi Simba ilikutana kwa dharura juzi na kufikia makubaliano ya kumpa nafasi Sven arudishe makali ya timu

Mchezo dhidi ya Mwadui Fc unaweza kuwa mtego kwake, kwani matokeo tofauti yanaweza kumuondoa Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’