Morrison amekosea lakini ameonewa sana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Oct 2020
Morrison amekosea lakini ameonewa sana

Winga Bernard Morrison hukabiliana na wakati mgumu sana anapokuwa dimbani kwa jinsi anavyokamiwa na wachezaji wa timu pinzani

Sidhani kama kwenye ligi mpaka raundi hii ya nane kuna mchezaji amefanyiwa madhambi mara nyingi zaidi kuliko Morrison

Kuna wakati kocha Sven Vanenbroeck alitahadharisha wachezaji wa timu pinzani kukosa uungwana na kumfanyia rafu za makusudi kabisa

Bahati mbaya waamuzi wamekuwa wakiacha matukio hayo ya hatari ambayo huwa anafanyiwa

Sven alikwenda mbali zaidi akihofia yawezekana kuna timu zinalipa wachezaji wa timu pinzani ili wamuumize Morrison 'wameweka pesa kwenye kichwa cha Morrison'

Katika kila mchezo ambao Morrison amaitumikia Simba lazima utakutana na tukio lisilo la kiungwana ambalo amefanyiwa

Jana kabla ya tukio la kumpiga ngumi Juma Nyoso, ni yeye aliyekuwa amefanyiwa madhambi ya makusudi kabisa na beki huyo mkongwe na mtukutu

Ni bahati mbaya jana Morrison alikosa uvumilivu na kujikuta akiingia mtegoni, kitendo alichofanya hakikuwa cha kiungwana lakini ni matokeo ya dhurma nyingi ambazo anafanyiwa anapokuwa uwanjani

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’