Simba inapoteza mchezo wa pili mfululizo baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru
Bao la Ruvu Shooting lilipatikana kwenye dakika ya 37 likifungwa na Fully Maganga
Haikuwa siku nzuri kwa Simba kwani pamoja na kutengeneza nafasi walishindwa kuzitumia
Aidha nahodha John Bocco alikosa mkwaju wa penati kwenye dakika ya 80
Daa! bundi gani ametua Msimbazi?
ADVERTISE HERE