Simba vs Ruvu Shooting, burudani inarejea Dar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Oct 2020
Simba vs Ruvu Shooting, burudani inarejea Dar

Mabingwa wa nchi Simba leo majira ya saa kumi Alasiri watashuka dimba la Uhuru kupepetana na Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Huu ni mchezo muhimu sana kwa vijana wa Sven Vandenbroeck kuondoka na alama zote tatu ili kuhakikisha wanaendelea kuzipa presha Yanga na Azam Fc ambazo ziko juu yao

Aidha kwa wachezaji, huu ni mchezo mwingine kwao kudhihirisha kuwa matokeo ya mchezo uliopita yalikuwa bahati mbaya

Baada ya kurejea kutoka Rukwa, wachezaji walipata nafasi ya kupumzika na leo wataingia uwanjani wakiwa 'fresh'

Uongozi wa Simba umewataka mashabiki wake wajitokeze kwa wingi uwanja wa Uhuru kuiunga mkono timu yao, wasahau matokeo ya mchezo uliopita

"Tuliteleza na sasa tumesimama tayari kutafuta alama tatu muhimu mbele ya Ruvu Shooting. Wanasimba tunawaomba kesho (leo) mjitokeze kwa wingi kuishangilia timu yetu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’