Toleo namba 1.1.2 la Mwana Msimbazi limewekwa Google Play Store, ni muhimu ku Update kwenda toleo hilo jipya.
Ku Update ni rahisi, fungua ukurasa wa pembeni wa App yako (SIDEBAR MENU) halafu bonyeza Update. Kisha utapelekwa moja kwa moja kwenye ukurasa wa Mwana Msimbazi App, Google Play Store. Utabonyeza tena Update.
Kama hutaona kitufe cha Ku Update Play Store, usiwe na wasiwasi jaribu tena baadae kwani toleo hilo linasambazwa kwa awamu.
Toleo jipya limesahihisha matatizo madogo madogo pia kuongeza mambo mengine mazuri.
Baadhi ya matoleo ya zamani hayataweza kupokea taarifa mpya hivyo ni muhimu ku update ili kuendelea kupata taarifa.

ADVERTISE HERE