Simba imerejea nyumbani na siku ya Jumatatu, watashuka uwanja wa Uhuru kuwakabili maafande wa Ruvu Shooting
Uongozi wa Simba umeweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/- VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa kuanzia saa 10 Alasiri
ADVERTISE HERE