Kikosi cha Simba kimerejea jijini Dar es salaam wakitokea Sumbawanga ambako jana walicheza mchezo dhidi ya Tanzania Prisons
Simba imerejea kujiandaa na mchezo dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Jumatatu
Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wachezaji watapewa mapumziko ya siku moja kabla ya kukamilisha maandalizi tayari kuikabili Ruvu Shooting Jumatatu
Mchezo dhidi ya Ruvu Shooting utapigwa uwanja wa Uhuru
ADVERTISE HERE