Ni matokeo ya mchezo tu - Zimbwe Jr

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Oct 2020
Ni matokeo ya mchezo tu - Zimbwe Jr

Nahodha Msaidizi wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amesema wamepoteza mchezo dhidi ya Prisons kama sehemu ya matokeo na sasa wanajipanga kuelekea mchezo unaofuata dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa keshokutwa jijini Dar es salaam

"Tumepoteza mchezo, wenzetu walipata nafasi wakaitumia lakini sisi tulipata nafasi pia lakini hatukuweza kuzitumia. Kocha atakuwa ameona mapungufu yaliyojitokeza na tutayarekebisha kabla ya mchezo unaofuata," alisema

"Kila mchezaji aliyesajiliwa Simba ana uwezo hatuwezi kusema kukosekana kwa baadhi ya wachezaji ndio sababu ya kufungwa, yawezekana hata kama wangekuwepo tungefungwa, ni matokeo tu"

"Muhimu nawataka mashabiki tusonge mbele pamoja kuelekea mechi inayofuata. Kuna tulichojifunza kutokana na matokeo haya"

Baada ya mchezo huo, Simba inarejea jijini Dar es salaam ambako inakabiliwa na mchezo wa raundi ya nane dhidi ya Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’