FT : Tanzania Prisons 1-0 Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Oct 2020
FT : Tanzania Prisons 1-0 Simba

Mabingwa wameacha pointi zote mkoani Rukwa baada ya kufungwa bao 1-0 na Tanzania Prisons katika mchezo uliopigwa uwanja wa Nelson Mandela

Samson Mbangula ndiye aliyeihakikishia Tanzania Prisons kwa kufunga bao pekee la maafande hao

Ulikuwa mchezo mgumu, Prisons walionekana kukamia, wakicheza mchezo wa mabavu

Aidha kukosekana kwa wachezaji kama Paschal Wawa, Clatous Chama, Chris Mugalu, John Bocco na Meddie Kagere pengo lao limeonekana wazi wazi kwani aina ya mchezo huo uliwahitaji

Majeruhi ni changamoto inayoikabili Simba sasa, na bahati mbaya beki Shomari Kapombe ameongeza orodha ya majeruhi kwenye kikosi cha mabingwa hao wa nchi baada ya kuumizwa leo

Baada ya mchezo huo, Simba inarejea jijini Dar es salaam ambapo mchezo unaofuata utapigwa uwanja wa Uhuru dhidi ya Ruvu Shooting, October 25

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’