Charles ndiye aliyekabidhiwa jukumu la kuiongoza safu ya ushambuliaji leo kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons
Chris Mugalu alipata majeraha katika maandalizi kuelekea mchezo huo hivyo kuifanya Simba iwakose washambuliaji wake wote watatu John Bocco, Meddie Kagere na Mugalu
Hii ni nafasi kwa Ilanfya kumshawishi kocha Sven Vandenbroeck ili kumtumia kwenye mechi zinazofuata pia
ADVERTISE HERE