Viingilio mchezo wa Simba v Gendarmarie

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Feb 2018
Viingilio mchezo wa Simba v Gendarmarie
Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mh. Al Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa kimataifa dhidi ya Gendarmerie Nationale FC kutoka Djibouti.

Akizungumza na vyombo vya habari Mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano Haji Manara alisema 'Tunategemea kuwa Mzee wetu, Rais wa awamu ya pili Al Hassan Mwinyi kuwa mgeni rasmi wa mchezo wetu dhidi ya Gendarmerie Nationale FC kwenye michuano ya kombe la shirikisho la CAF, mchezo huu ambao utachezwa Jumapili saa 10:00 jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam'

Akiendelea kuelezea maandalizi ya mchezo huo alitoa taarifa ya kuja kwa timu ya Gendarmerie Nationale FC ambapo watawasili Jumamosi saa 7:00 usiku ukiwa ni msafara wa wachezaji 18 pamoja na viongozi 8.
Viingilio vya mchezo huo vitakuwa ni 30,000 kwa VIP A, 20,000 VIP B, Orange 10,000 na 5,000 kwa mzunguko.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’