Chama cha Soka Mkoani Rukwa (RUREFA) kimetangaza Viingilio vya Mchezo wa ligi kuu kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Simba, mabingwa watetezi ambao utapigwa kesho Alhamisi kwenye uwanja wa Nelson Mandela
VIP ni Tsh 10,000/= na kule Mzunguko ni Tsh 5,000/=
Mabingwa tayari wako mjini Sumbawanga, jioni ya leo watafanya mazoezi yao ya mwisho katika dimba la Nelson Mandela
ADVERTISE HERE