Simba imetua Tunduma

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Oct 2020
Simba imetua Tunduma

Wakiwa safarini kuelekea mkoani Rukwa, mabingwa wa nchi Simba tayari wamewasili Mji wa Tunduma ambako wataweka kambi ya muda mfupi kabla ya kuendelea na safari

Mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons, utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga

Katika kuhakikisha wachezaji hawachoshwi na safari ndefu, uongozi wa Simba umeigawa safari hiyo kwa kuweka vituo tofauti

Wakiwa Tunduma, wachezaji walipata nafasi ya kufanya mazoezi kabla ya kuendelea na safari

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’