Mabingwa wa nchi Simba wameianza safari ya kuelekea Rukwa wakiondoka Mbeya leo kuelekea Tunduma, Songwe
Mchezo dhidi ya Tanzania Prisons utapigwa keshokutwa Alhamisi kwenye uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga
Simba ilitua Mbeya mapema jana, na jioni wachezaji wakafanya mazoezi kuweka miili yao sawa


ADVERTISE HERE