Baada ya kuwasili mkoani Mbeya, jioni ya leo kikosi cha Simba kimefanya mazoezi mepesi ikiwa ni program maalum ya kuondoa uchovu baada ya mchezo dhidi ya Mlandege Fc hapo juzi
Simba imeweka kambi ya muda mfupi mkoani Mbeya kujiandaa na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Alhamisi, Oktoba 22 uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa






ADVERTISE HERE