Mugalu kupewa kazi maalum Rukwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Oct 2020
Mugalu kupewa kazi maalum Rukwa

Kikosi cha Simba kiliondoka mapema leo jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Mbeya ambako wataweka kambi ya muda mfupi kabla ya kuelekea mkoani Rukwa kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

Simba tayari iko Mbeya ikiendelea na maandalizi na wanatarajia kusafiri kuelekea Sumbawanga siku moja kabla ya mchezo dhidi ya Prisons ambao utapigwa Alhamisi

Msafara wa Simba umeondoka na wachezaji 22, Chris Mugalu akipewa kazi ya kwenda kuongoza safu ya ushambuliaji baada ya nahodha John Bocco ambaye ni majeruhi na Meddie Kagere wote kukosekana

Mugalu ameanza vyema maisha ndani ya klabu ya Simba akifunga katika kila mchezo ambao ameshuka dimbani

Unaweza kusema ndiye mshambuliaji ambaye yuko kwenye kiwango bora sana katika kuzifumania nyavu. Amefunga mabao saba katika mechi sita alizochezampaka sasa

Bila shaka ndiye atakayepewa jukumu la kuwapa furaha mashabiki wa Simba, akitarajiwa kuongoza safu ya ushambuliaji kwenye mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’