Simba yatua Mbeya, kuanza maandalizi jioni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Oct 2020
Simba yatua Mbeya, kuanza maandalizi jioni

Kikosi cha mabingwa wa soka nchini Simba kimewasili mkoani Mbeya wakiwa njiani kuelekea Sumbawanga ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons siku ya Alhamisi

Mabingwa hao mara tatu mfululizo ligi kuu ya Vodacom, wataweka kambi ya muda mfupi kujiandaa na mchezo huo

Taarifa iliyotolewa na Simba mapema leo, imebainisha kuwa timu itaanza mazoezi mkoani Mbeya jioni ya leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’