Msafara wa kikosi cha mabingwa wa nchi, Simba umeondoka mapema leo jijini Dar es salaam kwa usafiri wa Ndege wakielekea mkoani Mbeya ambako wataunganisha safari ya mkoani Rukwa kuwafuata Tanzania Prisons
Oktoba 22 Simba itashuka uwanja wa Nelson Mandela kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu





ADVERTISE HERE