Niacheni, nimeipenda mwenyewe Simba - Kakolanya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Oct 2020
Niacheni, nimeipenda mwenyewe Simba - Kakolanya

Mlinda lango wa Simba Beno Kakolanya amewataka baadhi ya waandishi kuacha kufuatilia maisha yake

Baada ya kutoanzishwa jana kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege, Mwandishi mmoja aliandika Makala ambayo haikumfurahisha Kakolanya

Kakolanya amechukizwa na tabia ya mwandishi huyo ambaye imekuwa kawaida yake kumuanidka mara kwa mara

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Beno ameandika;

"Mtu akikueshimu nawe jieshimu kidogo mimi sio muongeaji ila ukitaka niongee ntaongea hii ni mara pili unaandika hizi habari ila ujue kitu huo uandishi wenu muwe mnaangalia

Umekaaa unanifatilia sana maisha yangu ya mpira ina maana sisi wachezaji wazawa ndo tunakosea au ulitaka tukae wote golini? au wewe ni kocha?

Wamekuja wachezaji wageni na mmewaandika kwa kelele nyingi mwisho wa siku hawachezi mbona hamuwaongelei?

Tafuta wengine wa kuwa ongelea sio mimi kipaji changu hujanipa wewe kanipa Mungu nicheze nisicheze wewe haikuhusu mimi ndo nimesaini mkataba sio wewe kwa hiyo kuniongelea mimi kitu usichojua angalia

Pia huo uandishi uchwala wengine hatupendi fata mambo yako achana na mimi au tafuta wachezaji wageni wasiocheza na mliwaandika kwa mbwembwe nyingi ndo uwe unauliza mbona hawachezi ila jiangalie na uandishi wako kidogo mtu unae muandika hii ni mara ya pili nakuhesabia jiangalie @davidfelician10"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’