Onyango, Kahata warejea kikosini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Oct 2020
Onyango, Kahata warejea kikosini

Nyota wawili wa Simba Joash Onyango na Francis Kahata tayari wamerejea wakijiunga na wenzao kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons utakaopigwa Oktoba 22

Nyota hao walikuwa nchini Kenya wakitimiza majukumu ya timu ya Taifa. Wote walicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Zambia, Kenya ikishinda mabao 2-1

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wachezaji hao wameanza mazoezi sambamba na Mnyarwanda Meddie Kagere aliyekuwa na majukumu timu ya Taifa ya Rwanda

Rweyemamu amesema kikosi chao kiko kamili wakiendelea na maandalizi licha ya changamoto ya mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
52m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’