Simba kujipima na Mlandege Fc Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Oct 2020
Simba kujipima na Mlandege Fc Jumamosi

Keshokutwa Jumamosi, kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kitashuka kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi kuumana na Mlandege katika mchezo wa kirafiki

Simba haitakuwa na mchezo wa ligi mwishoni mwa wiki, hivyo hii itakuwa nafasi kwa kocha Sven Vandenbroeck kuwaweka sawa vijana wake kabla ya mchezo dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa mkoani Rukwa Oktoba 22

Juzi Simba ilipaswa kucheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya Ndanda Fc lakini mchezo huo haukufanyika kutokana na changamoto ya mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam

Machampioni hao wanaendelea kujifua kwenye uwanja wao wa Mo Simba Arena kujiandaa na mechi hizo zinazofuata

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’