Bernard Morrison ni Simba dam! ni vyema watu wa Yanga wakamuacha acheze mpira kwani wanapoteza muda kuhangaika nae
Majaribio yao yote ya kumkwamisha yameshindwa, lakini pia mwenyewe ameweka wazi kuwa aliipenda Simba kabla ya kujiunga na Yanga na kuwa aliisubiri sana nafasi ya kusajiliwa na mabingwa hao wa nchi

Watani ni vyema wakakubali, huu ni wakati wa Simba kama walivyokuwa na wakati wao misimu kadhaa nyuma
Wachezaji wenyewe wanachagua kujiunga na Simba kwa mapenzi yao
Morrison ataendelea 'kuwakeraaa' kama hawatamuacha atimize majukumu yake vyema kunako klabu yake ya Simba
ADVERTISE HERE