Fraga atakuwepo Novemba 07

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Oct 2020
Fraga atakuwepo Novemba 07

Kama walikuwa wakishangilia baada ya mechi ya watani wa jadi iliyokuwa ipigwe Oktoba 18 kuahirishwa, basi waandike maumivu kwani kiungo 'bax-2-box' Gerson Fraga atakuwa tayari kuwavaa kwenye mchezo wa Novemba 07

Fraga ameanza mazoezi mepesi baada ya kupona majeraha aliyopata mwezi uliopita

Mwamba huyu atakuwa tayari kurejea dimbani katika kipindi cha wiki mbili, ambazo ni kabla ya mchezo dhidi ya Yanga ambao ulisogezwa mbele Novemba 07

Kwenye kile kipigo cha mabao 4-1 msimu uliopita, Fraga ndiye aliyewavuruga eneo la kiungo na ndiye aliyefungua ukurasa wa mabao kwenye mchezo huo ambao Wanamsimbazi waliunguruma kibabe dimba la Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’