Kufunga sio ishu sana muhimu kuisaidia timu - Miquissone

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Oct 2020
Kufunga sio ishu sana muhimu kuisaidia timu - Miquissone

Kiungo mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone, raia wa Msumbiji amefunguka kwamba ataendelea na kazi ya kutengeneza mabao kwa wenzake ili kuifanya timu hiyo iendelee kupata pointi tatu kwenye mechi zake.

Miquissone ameongeza kwamba licha ya kutoa assisti hizo kwa wenzake lakini pia atafunga pale atakapokuwa na nafasi

Miquissone kwenye Ligi Kuu Bara kwa msimu huu amehusika katika mabao sita ya Simba akitoa assisti tano na kufunga bao moja dhidi ya JKT Tanzania

Miquissone ambaye wengi hupenda kumuita Konde Boy amesema kwamba atahakikisha anaifanya kazi hiyo ya kutoa pasi za kufunga kwa wenzake kwa sababu ni sehemu ya majukumu yake ndani ya kikosi hicho kinachofundishwa na Mbelgiji Sven Vanden broeck."

"Najisikia vizuri kufunga na kutoa assisti kwa wenzangu kwa sababu ni sehemu ya kazi yangu, najua nina uwezo wa kupafomu vizuri.

"Nafanya kazi kuisaidia timu yangu iende juu zaidi ya hapa. Nimefunga bao zuri na kutoa assisti lakini nataka kufunga zaidi,” amesema.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’