Simba yaomboleza kifo cha Mjumbe Kamati ya Utendaji TFF

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Oct 2020
Simba yaomboleza kifo cha Mjumbe Kamati ya Utendaji TFF

Uongozi wa klabu ya Simba umepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka nchini TFF, Mwenyekiti wa Kamati ya Tiba TFF na Mjumbe wa Kamati ya Tiba CAF, Dkt. Paul Marealle

Simba imetuma salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huo

Mapema leo, Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia alitangaza taarifa za kifo cha Dr Marealle kilichotokea jana usiku

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’