Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Mwasisi wa Taifa la Tanzania, Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere
Wakati ukiwa ni mwaka wa uchaguzi Mkuu, njia sahihi ya kumuenzi muasisi wetu ni kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura kuwachagua viongozi watakaotuongoza kwa kipindi cha miaka mitano
ADVERTISE HERE