Mvua kubwa inayoendelea kunyesha jijini Dar es salaam imepelekea uongozi wa klabu ya Simba kuahirisha mchezo wa kirafiki dhidi ya Ndanda Fc uliokuwa upigwe leo saa 11 jioni uwanja wa Azam Complex, Chamazi
Simba imewaomba radhi mashabiki na wadau wake kutokana na usumbufu wowote uliojitokeza
ADVERTISE HERE