Mkude aomba radhi, tukutane mechi inayofuata

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2020
Mkude aomba radhi, tukutane mechi inayofuata

Kiungo Jonas Mkude amewaomba radhi Watanzania kufuatia kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Burundi jana

Mchezo huo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, ulimalizika kwa Tanzania kufungwa bao 1-0

Mkude alitolewa nje kwenye dakika ya 75, baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano

Kutoka kwake kuliigharimu Stars kwani Burundi walitumia mwanya huo kutawala mchezo na kufanikiwa kufunga bao pekee

"Samahani inamaanisha unajisikia machungu ambayo wameyapitia watu wengine pamoja na wewe mwenyewe. Tukutane mchezo unaofuata," aliandika Mkude kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Stars inakabiliwa na mtihani wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya Tunisia mchezo ukitarajiwa kupigwa Novemba 13

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
20m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’