Joash Onyango katika majukumu ya Kimataifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2020
Joash Onyango katika majukumu ya Kimataifa

Mwishoni mwa wiki wachezaji wa Simba Joash Onyango na Francis Kahata walishiriki mchezo wa Kimataifa wa kirafiki wakiitumikia timu ya Taifa lao Kenya dhidi ya Zambia

Mchezo huo ulimalizika kwa Kenya kushinda mabao 2-1

Joash alifanya kazi kubwa sana kwenye safu ya ulinzi. Mwamba huyu mwenye umri wa miaka 27 amewafunga midomo wale waliokuwa wakikosoa usajili wake kunako mabingwa wa nchi

Simba ilihitaji mlinzi wa kariba yake ambaye atakuwa na msaada mkubwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa itakayoanza mwezi ujao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’