Madai ya Yanga kwa Morrison kusikilizwa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2020
Madai ya Yanga kwa Morrison kusikilizwa leo

Inaelezwa Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF inakutana leo kujadili madai ya klabu ya Yanga kuhusu mkataba wa winga Mghana Bernard Morrison aliosaini na Simba

Wiki iliyopita Yanga walitoa malalamiko wakidai kuwa mkataba wake na Simba una mapungufu

TFF ilithibitisha kupokea madai hayo na kuiagiza Kamati ya Sheria kuyafanyia kazi, Kamati hiyo ikitarajiwa kukutana leo

Ni wazi shauri hili litamalizwa mapema tu kwani mkataba ni makubaliano ya pande mbili, Simba na Morrison mwenyewe

Kama kuna mapungufu (kama kweli yapo) ni pande hizo mbili zinapaswa kuzungumza lakini sio Simba wala Morrison aliyepeleka malalamiko, Yanga sio sehemu ya mkataba huo

Tusubiri maamuzi ya Kamati hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’