Burudani inarejea Msimbazi Jumanne

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Oct 2020
Burudani inarejea Msimbazi Jumanne

Baada ya kumaliza majukumu ya Kitaifa, kesho Jumanne mabingwa wa nchi Simba wanairejesha burudani kwa mashabiki wao watakapocheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Ndanda Fc

Mchezo huo utapigwa saa 11 jioni kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 7,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Mchezo huu utatoa nafasi kwa wachezaji ambao hawakuwa na majukumu ya timu za Taifa kumshawishi mwalimu Sven Vandenbroeck

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’