Burundi waibuka kidedea dhidi ya Tanzania

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2020
Burundi waibuka kidedea dhidi ya Tanzania

Bao la dakika ya 85 lililofungwa na Saidi Ntibazonkiza limeihakikishia Burundi ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Tanzania katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ulikuwa ni mchezo ambao Stars ingeweza kuibuka na ushindi kirahisi tu kwani waliutawala kwa muda mwingi lakini bado ipo shida kwenye umaliziaji

Nahodha Mbwana Samatta, Iddi Selemani na hata Simona Msuva walipoteza nafasi kadhaa huku timu ikikosa mpango mzuri iliposhambulia lango la Burundi

Burundi walitumia dakika 15 za mwisho kujihakikishia ushindi huo hasa baada ya kiungo Jonas Mkude kutolewa nje baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano

Stars inakabiliwa na mchezo mgumu wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2021 dhidi ya Tunisia mwezi ujao

Ni wazi kocha Etienne Ndayiragije ana kazi ya kuhakikisha anawaweka vijana wake sawa kabla ya safari ya Tunisia Novemba 13

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
28m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’