Tanzania 'inatest mitambo' dhidi ya Burundi leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 Oct 2020
Tanzania 'inatest mitambo' dhidi ya Burundi leo

Leo Jumapili, saa kumi Alasiri timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupepetana na Burundi mchezo wa kirafiki

Mchezo huo wa kujipima nguvu, uko ndani ya kalenda ya FIFA hivyo ushindi kwa Stars utaongeza alama kwenye msimamo wa viwango vya FIFA

Ni mchezo unaotarajiwa kuwa na upinzani mkali kutokana na uimara wa kikosi cha Burundi

Burundi imekuja nchini ikiwa na takribani wachezaji 10 wanaocheza nje ya Taifa hilo

Kwa Stars, mchezo huu utamsaidia kocha Etienne Ndayiragije kuelekea maandalizi ya mchezo dhidi ya Tunisia kuwania tiketi ya fainali za michuano ya AFCON 2021 ambao utapigwa mwezi ujao

Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa anatarajiwa mgeni rasmi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’