Bull Striker, Meddie Kagere ni jina ambalo limezoeleka sana kwenye ardhi ya Tanzania
Mshambuliaji huyu hatari wa Simba ndiye mfungaji bora wa ligi kuu ya Vodacom kwa misimu miwili mfululizo
Msimu huu tayari ameweka kambani mabao manne akifukuzia kiatu cha tatu mfululizo
Siku hii ya leo Kagere anaadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Sisi ni akina nani tusimtakie kheri ya siku ya kuzaliwa MK-14?
ADVERTISE HERE