Kesho Jumapili Tanzania itacheza na Burundi mchezo wa Kimataifa wa kirafiki ambao uko katika kalenda ya FIFA
Burundi iliyotua nchini juzi, ilianza maandalizi yake jana ambapo wanajifua kwenye uwanja wa Mo Simba Arena unaomilikiwa na klabu ya Simba
Timu hiyo leo itafanya maandalizi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa utakaotumika siku ya kesho
ADVERTISE HERE