Oktoba 13 2020 Mabingwa wa nchi Simba watashuka kwenye uwanja wa Azam Complex, kuumana na Ndanda Fc katika mchezo wa kirafiki
Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi ya kikosi cha Sven Vandenbroeck kuelekea mchezo dhidi ya Prisons ambao utapigwa Oktoba 22
Mchezo wa pili wa kirafiki Simba itacheza na Mlandege Fc hapohapo uwanja wa Azam
Mechi zote zitapigwa kuanzia saa 11 jioni
ADVERTISE HERE