Wakati karibu nusu ya wachezaji wa Simba wakiwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa, wachezaji wengine wamerejea kambini kujiandaa na mechi zinazofuata ligi kuu ya Vodacom pamoja na michuano mingine
Baadhi ya wachezaji wameshiriki program maalum ya mazoezi ya GYM
Nyota hao wanatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya Pan African na Mlandege kabla ya mchezo dhidi ya Prisons utakaopigwa Oktoba 22 mkoani Rukwa
ADVERTISE HERE